Posts

Showing posts from August, 2018

Jumapili njema

Mwamini Mungu Then Amini muujiza wako upo Kuna mahali tunafikia moyo yetu inapondeka na kukosa tumaini kabsa, wengine wanaamini ndio mwisho wa maisha yao wengine wanaamini hawata fanikiwa tena Lakini jumapili hii ya leo napenda nikutie moyo na kukuambia kua kuna nguvu ya asili na haiwezi patikana pengine popote isipokua kwa kumwamini tu aliyetuumba. Ukianzia hapa katika shughuli zako na katika mambo yako utaona tumaini na utaona mafanikio. Ni kitu kimoja kirahisi na chepesi unachoweza kufanya ni kuomba, kutubu, na kuamini kile unachokiomba bila kusahau kuishi ukizishika amri za Mungu na kuziishia Ujumbe huu kama umekugusa chukua hatua tubu na badilisha njia zako(mwenendo wako) Pia toa sadaka ya sekunde chache ku like na ku share hii page kwa wengine ili nao wapate kubadilika naamini ukifanya hivyo lazima utaokoa mtu mmoja na katika akaunti yako mbinguni itakua imeongezeka kitu